Wakaazi wa Mombasa walalamikia kuongezeka kwa gharama ya maisha

  • | Citizen TV
    128 views

    Waumini Wa Kiislamu Wapo Katika Mfungo Wa Ramadhan Wakati Ambapo Gharama Ya Maisha Inaonekana Kupanda. Hali Hii Imekuwa Changamoto Kuu Ya Kupata Vyakula Muhimu Wakati Wanapofunga. Baadhi Ya Wakazi Wa Mombasa Wamedai Kutumia Kati Ya Shilingi 1,500 Hadi 2,000 Kila Siku Ili Kujikimu.