Wakaazi wa Rusinga Island wajihusisha katika kukarabati hospitali

  • | Citizen TV
    114 views

    Wakaazi katika visiwa vitano vilivyomo ziwani Victoria sasa waneanza mchakato wa kuinua hadhi ya hospitali katika visiwa hivyo kama moja ya njia ya kujitegemea na kuinua hali ya afya katika visiwa hivyo. James Latano alizuru kisiwa cha Rusinga na hii hapa Taarifa yake.