Wakaazi wa Taita Taveta wapokea vyema mradi wa kukuza utalii eneo hilo

  • | Citizen TV
    367 views

    Kaunti ya Taita Taveta imepokelea vyema mradi wa serikali wa ujenzi wa kituo kitakachokuza historia ya kumbukumbu za vita vya kwanza vya dunia eneo hilo. Mradi huu utaendeshwa kwa gharama ya shilingi milioni 68.