Wakazi Garissa waonywa dhidi ya ukataji miti ovyo

  • | KBC Video
    53 views

    Kamishna wa kaunti ya Garissa Mohamed Mwabudzo ametahadharisha wananchi dhidi ya uchomaji makaa na ukataji miti kinyume cha sheria katika kaunti hiyo akidokeza kuwa hatua madhubuti itachukuliwa dhidi ya wahusika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive