Wakazi sasa kupata huduma eneo hili Bungoma

  • | Citizen TV
    71 views

    Huduma za maradhi ya figo Katika kaunti ya Bungoma zimepigwa jeki baada ya kituo cha kukabiliana na ugonjwa huo kufunguliwa katika hospitali ya kimisheni ya Lugulu Eneo Bunge la Webuye Magharibi.