Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Karemenu wasema bado hawajalipwa fidia ya ardhi baada ya kuondolewa ili bwawa la maji lije

  • | Citizen TV
    210 views
    Duration: 3:32
    Mazingira ya bwawa ya Karemenu ni baadhi ya maeneo machache yaliyopata ufadhili wa Zaidi ya shilingi milioni 200 kutoka kwa washirikishi wa mazingira na maji wakishirikiana na serikali ya Kenya ili kurudisha vyanzo vya maji katika maeneo yalioharibiwa. Haya yanajiri wakati wakaazi wa Karemenu wakizidi kuzua tetesi ya kucheleweshwa kwa fidia ya waliofurushwa kutoka mashamba yao ili kupisha ujenzi wa bwawa mwaka wa 2019