Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kawangware watangamana na watanagazaji wa Radio Citizen

  • | Citizen TV
    812 views
    Duration: 1:20
    Kampuni ya Royal Media Services kwa ushirikiano na Joy Millers ilitua mtaani Kawangware, jijini Nairobi, kwa shamrashamra za siku tatu, ambapo wakazi walipata fursa ya kutangamana na watangazaji wa Radio Citizen.