- 170 viewsDuration: 3:40Wakazi wa Mailwa Group Ranch, Kajiado ya Kati, wanaitaka serikali na viongozi wa ardhi kuhakikisha uchaguzi wa viongozi wa shamba hilo unafanyika ndani ya siku 75 kama ilivyoagizwa na mahakama. Wakazi hao wanasema uchaguzi huo utasaidia kumaliza migogoro ya muda mrefu kuhusu umiliki na usimamizi wa ardhi ya jamii hiyo.