10 Sep 2025 10:19 am | Citizen TV 227 views Duration: 1:08 Wakazi wa Talai wadi ya Kapkukerwet eneo bunge la Ainamoi katika Kaunti ya Kericho wanaomba Serikali ya Kaunti hiyo ikarabati barabara mbovu eneo hilo.