Wakazi wa Tigania Magharibi wadai wamesahauliwa

  • | KBC Video
    1 views

    Baadhi ya wakazi wa eneobunge la Tigania Magharibi kaunti ya Meru wamelalamikia kuhusu maendeleo duni wakimlaumu mbunge wa eneo hilo Dkt John Mutunga kutokana na hali hiyo.Wkiongea katika uwanja wa Urru katika eneobunge la Tigania Magharibi, wakazi hao wamelalamika kuhusu uhaba wa muundombinu, viwango duni vya elimu na usafi katika eneo hilo. Sasa wametoa wito kwa mbunge wao kujizatiti na kushughulikia masuala ya maendeleo eneobunge hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive