Wakazi wanaoishi Kimulot watatizika na mvua kubwa

  • | Citizen TV
    267 views

    Wakazi wanaoishi katika eneo la Kimulot walitatizika kuvuka kutoka eneo bunge la Bureti kuelekea Konoin, kaunti ya Kericho, baada ya daraja linalounganisha maeneo ya Kusumek, Kipraisi na Kimulot kufurika