Wakazi wataka serikali ya kaunti ya Nairobi kufanya usafi mara kwa mara

  • | KBC Video
    240 views

    Wakazi wa kaunti ya Nairobi wamehimizwa kutumia mapipa yaliyo ndani ya nyumba na nje ili kudumisha usafi na uhifadhi wa mazingira. Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja anasema juhudi za kibinafsi pamoja na usafishaji wa kitaalamu wa Nairobi County Green Army utahakikisha kiwango cha juu cha usafi kinadumishwa katika eneo la katikati la jiji na maeneo ya makazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive