Wakenya kadhaa wamelalamika kuwa walidanganywa na serikali kupewa ajira

  • | Citizen TV
    149 views

    Mamia ya Wakenya waliotarajiwa kusafiri ughaibuni kupitia mradi wa serikali wa ajira za ng'ambo sasa wanadai kudhulumiwa na kulaghaiwa na wizara ya leba