Wakenya wasema wabunge wamepuuza mambo muhimu na haswaa ile ya kuunda sheria

  • | Citizen TV
    1,812 views

    Wabunge wamekosolewa kuhusu nafasi yao katika mchakato wa kuunda sheria, hasa wakati wa kumuondoa mamlakani naibu rais Rigathi Gachagua. Wananchi wameelezea kutoridhika kwao na jinsi wabunge walivyojitolea haraka kuongoza shughuli ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu suala hili la kisiasa, badala ya kutumia juhudi hizo kushughulikia masuala yanayowahusu wananchi.