Wakenya wauziwa mafuta yaliyofeli viwango vya KEBS

  • | Citizen TV
    1,725 views

    Huenda wakenya wakawa wametumia mafuta ya kupika ambayo hayakuafikia viwango vya kuthamini ubora wa bidhaa. Hii ni baada ya shirika la kebs kufichua kwamba lita milioni 32 za mafuta hayo ziliruhisiwa kuuzwa nchini, licha ya kuanguka ubora.