- 568 viewsDuration: 1:52Siku chache baada ya muungano wa upinzani kukashifu mikutano inayoendelea katika ikulu ya Rais, zaidi ya wawakilishi wadi 100 kutoka Kisii na Nyamira wameapa kufanya mikutano na Rais William Ruto katika Ikulu kwa kile wananchokitaja kama kutafutia maeneo yao maendeleo zaidi.