Wakulima wahimizwa kujiunga na vyama vya ushirika

  • | Citizen TV
    50 views

    Wakulima wadogo na wale wa wastani katika eneo la Pwani wametakiwa kujiunga na vyama vya ushirika ili kuimarisha kilimo biashara. Akizungumza katika maonyesho ya kilimo ya kaunti za Pwani, mkurugenzi mkuu wa baraza la Nafaka katika ukanda wa Afrika mashariki (EAGC) Gerald Masila amesema vyama vya ushirika vinawezesha wakulima kupata soko la mazao yao kwa haraka.