Wakulima wanataka mbolea isambazwe mashinani

  • | Citizen TV
    68 views

    Wakulima katika kaunti ya Bungoma wanaitaka wizara ya kilimo kugatua usambazaji wa mbolea ya ruzuku ili isafirishwe hadi maeneo ya mashinani