Walimu 12 kutoka Garissa na Tana River wakosa mtihani

  • | Citizen TV
    126 views

    Wanafunzi kumi na wawili kutoka kaunti za Garissa na Tana River waliojisahili kwa mtihani wa mwisho wa kuitimisha mafunzo yao ya uwalimu wa shule za chekechea walikosa majina yao kwenye orodha ya watahiniwa licha ya kulipa ada ya mtihani huo