12 Nov 2025 1:18 pm | Citizen TV 222 views Duration: 1:40 Walimu wa secondari msingi kutoka kaunti ya Kericho wanataka tume ya kuajiri walimu TSC kuajiri walimu elfu ishirini kwa ajira ya kudumu ili wapate bima ya SHA