13 Nov 2025 1:41 pm | Citizen TV 194 views Duration: 1:25 Chama cha walimu wa Shule za Upili na Vyuo vya kati tawi la Bungoma, kinapinga uamuzi wa serikali wa kuwahamisha walimu kutoka bima ya afya ya AON Minet hadi kwenye mpango mpya wa SHA.