12 Nov 2025 1:15 pm | Citizen TV 238 views Duration: 1:44 Walimu waliopewa kandarasi ya Shule za Sekondari msingi (JSS) katika Kaunti ya Migori wanaitaka serikali iwaajiri baada ya kandarasi zao kukamilika.