- 96 viewsDuration: 1:39MASLAHI YA WALIMU Walimu wakuu wa shule za msingi hapa nchini wanakutana mjini Mombasa kwa mkutano mkuu wa mwaka huku miito ikitolewa kwa serikali iweke bayana mbinu za uidhinishaji na usajili wa walimu wahamiaji katika mfumo wa elimu wa Kenya. Mkutano huo wa mwaka huu umejiri huku kukiwa na shinikizo kutoka kwa walimu wa shule za sekondari msingi wa kutaka kuwa huru. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive