Walioathirika na mafuta yaliyomwagika Makueni wadai fidia

  • | Citizen TV
    859 views

    Wakazi wa kaunti ya Makueni walioathirika na mafuta yaliyomwagika katika eneo la Thange watasubri hadi mwezi ujao kujua athari ya mafuta hayo kwa afya yao, maji, mimea na mifugo wao