Waliolaghaiwa pesa za biashara ya sarafu Eldoret waandamana

  • | Citizen TV
    592 views

    Waathiriwa wa sakata ya ulaghai wa biashara ya sarafu mjini Eldoret leo wamefanya maandamano, wakilalamikia kutokamatwa kwa mshukiwa mkuu Ambrose Abuti. Maandamano haya yamefanyika huku polisi sasa wakisema kuwa, maafisa wa upepelezi kutoka makao makuu ya DCI wametumwa Eldoret kuchunguza kesi hii na kuwakamata washukiwa.