Wamiliki ardhi ya Dupoto wadai kulaghaiwa

  • | KBC Video
    64 views

    Wanachama wa mpango wa makazi wa Dupoto ulioko katika eneo la Embakasi Kusini wanataka uchunguzi ufanywe kuhusiana na madai ya ubadhirifu na wizi wa shilingi bilioni 2.7 zilizonuiwa kuwafidia baada ya urathi wao wa ardhi kutwaliwa. Kupitia wakili wao Thomas Letangule, wanadai waliondolewa kimabavu kutoka ardhi ambako walikuwa wameishi kwa miongo mingi. Mengi zaidi ni kwenye kitengo cha mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News