Skip to main content
Skip to main content

Wamiliki wa magari wataka hatua kuchukuliwa dhidi ya wahudumu wa bodaboda

  • | Citizen TV
    10,463 views
    Duration: 2:56
    Wamiliki wa magari ya uchukuzi wameitaka Idara ya polisi kuwachukulia hatua thabiti wahudumu wa bodaboda ambao wanaendeleza tabia za kihuni na uhalifu kwa kuwashambulia madereva na kuchoma magari wakati ajali inapotokea. Kauli hii imetolewa baada ya zaidi ya magari matatu kuchomwa na wanabodaboda katika maeneo mbalimbali nchini. Franklin Wallah anaarifu