Skip to main content
Skip to main content

Wanabodaboda wachaguana kwa amani Kitengela

  • | KBC Video
    20 views
    Duration: 1:35
    Wahudumu wa boda boda huko Kitengela, Kaunti ya Kajiado, kwa mara ya kwanza katika muda wa miaka ishirini, wamefanya uchaguzi wa amani na kupata matokeo yasiyokuwa na pingamizi. Kinyume na chaguzi za awali, ni waendeshaji boda boda waliojisajili kama wapiga kura pekee walioruhusiwa kupiga kura kwa kutumia nambari zao za utambulisho pamoja na kitambulisho cha kitaifa. Waendesha boda boda wanasema miongoni mwa masuala muhimu wanayotarajia kushughulikiwa na uongozi mpya ni umoja wa malengo, kutunga katiba inayolenga ustawi wa wanachama, utekelezaji wa hatua za usalama na nidhamu miongoni mwa wahudumu wote wa boda boda. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive