Wanachama wa genge wafurushwa kutoka Marekani hadi El Salvador,

  • | BBC Swahili
    3,671 views
    Zaidi ya Wavenezuela 200 wanaodaiwa kuwa wanachama wa genge wamefurushwa kutoka Marekani hadi kwenye gereza kuu la El Salvador, licha ya mhakama ya Marekani kuzuia kuondolewa. Si serikali ya Marekani au El Salvador iliyotambua wafungwa hao, wala kutoa maelezo ya madai yao ya uhalifu au uanachama wa genge. #bbcswahili #marekani #elsalvador Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw