Wanachama wa muungano wa walimu wa shule za sekondari na vyuo anwai KUPPET wanalalamikia kubaguliwa

  • | Citizen TV
    253 views

    Wanawake na walemavu walalamika KUPPET wanasema hawapati nafasi za uongozi wanataka katiba ya KUPPET ifuatwe