Wanafunzi kutoka familia maskini Kibra wapata afueni baada uzinduzi wa maktaba ya kisasa

  • | Citizen TV
    138 views

    Wanafunzi kutoka familia maskini katika mtaa wa Kibra hapa Nairobi wapata afueni baada uzinduzi wa maktaba ya kisasa inayokusudiwa kuinua viwango vya masomo mtaani humo.