9 Sep 2025 7:39 pm | Citizen TV 827 views Duration: 1:16 Shughuli za uchukuzi kwenye barabara ya Meru kuelekea Maua zilitatizika kwa muda baada ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Meru kuandamana na kufunga Barabara hiyo wakilalamikia Ukosefu wa Usalama Kwenye Maeneo ya Makaazi yao.