- 1,300 viewsDuration: 2:46Wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma nchini wanaitaka serikali kuwajibika na kutatua maswala yaliyochangia mgomo wa wahadhiri ambao umefikia siku ya 40 hii leo. Baadhi ya wanafunzi wamelazimika kutafuta vibarua ili kujikimu kutokana na hali ngumu ya kusalia chuoni bila masomo wengi wao wakielezea hofu ya kucheleweshwa kwa masomo yao.