Wanafunzi waelimisha wazazi kuhusu mtaala wa CBC Kisii

  • | Citizen TV
    365 views

    Serikali inapoendelea kuweka mikakati ya kuimarisha masomo ya mtaala mpya wa CBC, uongozi wa shule ya umma ya sekondar msingi eneo la Nyabururu sasa imebuni mpango maalum ambapo wanafunzi ndio hutoa hamasisho kwa wazazi kuhusiana mtaala huo kuchagua kozi mapema katika gredi ya tisa.