Wanafunzi wapokea mtaji wa kuanzisha miradi

  • | KBC Video
    1 views

    Shirika moja lisilo la serikali lenye makao yake katika eneo la Ntimaru, kaunti ya Migori linakuza na kuwapa uwezo wa kifedha wanafunzi wa shule za msingi kama sehemu ya kukomesha mila na tamaduni potovu ikiwemo ukeketaji, mimba za utotoni na ndoa za mapema.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News