Wanajeshi walaumiwa kwa kuwafurusha wenyeji wa Ntulili na Tirigwi, Meru

  • | NTV Video
    292 views

    Wakazi zaidi ya elfu moja katika kijiji cha Ntulili na Tirigwi, kaunti ya Meru wanaopakana na jeshi la Kenya KDF la 78 battalion wamekemea unyanyasaji na uharibifu wa kimakusudi wa mali zao na jeshi hilo wakidai kuwa wanataka kuwahamisha kwa nguvu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya