Wanalaumu kuendelea kwa siasa za kuvuruga Meru

  • | Citizen TV
    159 views

    Wanabiashara kutoka nyanja mbalimbali Kaunti ya Meru wamelezea Changamoto wanazopitia za kukosa huduma muhimu na maendeleo kutokana na kile wanasema ni viongozi waliochagua kuwatenga na kuendeleza siasa kila wakati bila kazi