- 2,378 viewsDuration: 1:49Wakenya wametoa hisia mseto kuhusiana na uongozi wa serikali ya kenya kwanza na Rais William Ruto miaka mitatu baada ya kuchuma uongozi. Baadhi wanasema serikali imetekeleza majukumu katika baadhi ya sekta huku wengine wakisema mengi kuna mengi ambayo bado hayajafanyika.