Wanaonyakua ardhi ya misitu watahadharishwa

  • | KBC Video
    39 views

    Wale wanaonuia kujinufaisha na raslimali za misitu kinyume cha sheria watawajibishwa. Waziri wa mazingira, misitu na mabadiliko ya tabianchi, Aden Duale amesema ili kupata raslimali za umma ni sharti sheria zizingatiwe ili kuzuia uharibifu wa misitu humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive