Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa wanaogemea chama cha Wiper wadai rais Ruto anawabagua kisiasa

  • | NTV Video
    401 views
    Duration: 1:42
    Joto la kisiasa limezuka katika kaunti ya Kitui kufuatia maadhimisho ya sikukuu ya mashujaa, yaliyoshuhudia viongozi wengi wa eneo hilo kususia hafla hiyo. Kutokuwepo kwa kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, na viongozi wengine mashuhuri, kumezua mjadala mkali wa kisiasa, huku wanasiasa wa upande wake kalonzo wakishutumu walioaandaa wa sherehe hizo kwa kile wanachokitaja kuwa ni ubaguzi wa kisiasa uliopangwa kimakusudi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya