Wanawake wa Sudan Kusini na Kenya wafaikiana kudumisha amani

  • | Citizen TV
    154 views

    Amani katika mpaka Wa Kenya na Sudan kusini kule Lokichogio Na Nadapal imepatikana huku wafanyabiashara wakitakiwa kufanya shughuli zao bila wasiwasi