Wanawake wafunzwa mbinu za kilimo Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    30 views

    Akina mama katika maeneo ya wafugaji wana uwezo wa kubadili maeneo hayo kiuchumi, kwa kuanzisha biashara na kutekeleza kilimo katika maeneo hayo kame.