Wanawake wawili wadai haki baada ya kupigwa risasi Nanyuki

  • | Citizen TV
    1,470 views

    Wanawake wawili mjini Nanyuki wanauguza majeraha ya risasi baada ya kushambuliwa wakiwa wamehudhuria mchezo wa kriketi kwenye mbuga Moja la wanyama kaunti ya Laikipia.