Wasafiri wakesha nje kwenye barabara ya Nairobi kwenda Nakuru

  • | Citizen TV
    10,023 views

    Wasafiri kwenye barabara kuu ya Nairobi kwenda Nakuru na ile ya kamandura kwenda Maimahiu wametaabika usiku kucha baada ya trela kuanguza na kusababisha msongamano mkubwa wa magari.