12 Sep 2025 7:08 pm | Citizen TV 290 views Duration: 1:07 Washukiwa watatu waliohusishwa na imani potovu katika eneo la Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi wameachiliwa bila dhaman na mahakama kuu ya Malindi.