Wataalamu serikali iondoe mapendekezo ya kutoza ushuru wa kumiliki magari

  • | K24 Video
    54 views

    Wataalamu wa uchumi na ushuru wanapendekeza serikali iondoe mapendekezo ya kutoza ushuru wa kumiliki magari na ushuru wa fedha zinazotumwa kutumia benki na mpesa katika mswada wa fedha wa 2024 kwa misingi kuwa kutapelekea kupungua kwa ushuru unaokusanywa katika sekta hizo. pia wanaiomba serikali izingatie maoni yao kinyume na mwaka jana ambapo wanahisi sauti zao hazikuskizwa.