Watangazaji wa KBC waomboleza na familia ya Mambo Mbotela

  • | KBC Video
    132 views

    Wanahabari waliobobea zama zile na wa sasa kutoka shirika la utangazaji la Kenya KBC, leo walifika nyumbani kwa gwiji wa utangazaji marehemu Leonard Mambo Mbotela kuomboleza na familia yake. Mbotela alifariki ijumaa iliyopita katika hospitali moja jijini Nairobi, alipokuwa akitibiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive