- 469 viewsDuration: 1:42Watangazaji wa kampuni ya Royal Media Services kwa ushirikiano na Joy Millers, watengenezaji wa unga wa Raha Premium walijumuika na wakazi wa Kawangware katika soko la Kawangware kwa shamrashamra za mapishi ya chapati na ugali.