Watu-11 wafariki kwenye ajali barara ya Eldoret-Kitale

  • | KBC Video
    1,016 views

    Watu kumi na mmoja waliangamia leo asubuhi kwenye ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika eneo la Soy kwenye barabara kuu ya Eldoret Kitale. Watoto watatu waliponea kifo kwa tundu la sindano kwenye ajali hiyo iliyotokea mwendo wa saa 9:10 asubuhi wakati matatu ya abiria kumi na wanne ya Great Rift Shuttle lilipogongana na lori. Polisi wameanzisha msako wa kumtafuta dereva wa lori hilo anayesemekana alifaya makosa na kutoroka eneo la ajali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive