- 1,486 viewsDuration: 1:32Watu 26 zaidi wamekamatwa kuhusiana na wizi wa mitihani ya KCSE inayoendelea nchini. Tisa Kati ya waliokamatwa leo ni Wanafunzi na wengine wakijumuisha wasimamizi wa mitihani, mpishi mmoja na raia. Kufukia sasa, Jumla ya Watu 51 wamekamatwa kwa wizi wa KCSE tangu ulipoanza kote nchini.